Jumanne ya 17 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 33:7-11; 34:5-9,28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:6-13Bwana amejaa huruma na neema.
Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki,
na hukumu kwa wote wanaoonewa.
Alimjulisha Musa njia yake,
wana wa Israeli matendo yake.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Bwana amejaa huruma na neema,
haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.
Yeye hatateta sikuzote,
wala hatashika hasira yake milele.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Hakututenda sawasawa na hatia zetu,
wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.
Maana mbingu zilivyoinuka juu ya nchi,
kadiri ileile rehema zake ni kuu kwa wamchao.
K. Bwana amejaa huruma na neema.
Shangilio la Injili
2Tim 1:10Mwokozi wetu Yesu Kristu alibatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika kwa Injili.
Aleluya.
Injili
Mt 13:36-43Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni