Dominika ya 4 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo.4:8-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:1,8-9,21-23,26,28-29Aleluya.
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema,
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Ni heri kumkimbilia Bwana
Kuliko kuwatumainia wanadamu.
Ni heri kumkimbilia BWANA.
Kuliko kuwatumainia wakuu.
(K)Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni
Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu.
Jiwe walilolikataa waashi
Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Neno hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni ajabu machoni petu.
(K)Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni
Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la Bwana;
Tumewabarikia toka nyumbani mwa Bwana
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru,
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza.
Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema,
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
(K)Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni
Somo la Pili
1Yoh.3:1-2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 10:14Mimi ndimi mchungaji mwema;
nao walio wangu nawajua;
Nao walio wangu wanijua mimi .
Aleluya
Injili
Yn.10:11-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Jackobo Makafu · 28 Aprili 2021
Tupendane