Jumatano ya 15 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Isa 10:5-7, 13-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 94:5-10, 14-15Bwana hatawatupa watu wake.
Ee Bwana, wanawaseta watu wako; Wanautesa urithi wako;
Wanamwua mjane na mgeni; Wanawafisha yatima.
K. Bwana hatawatupa watu wake.
Nao husema, Bwana haoni; Mungu wa Yakobo hafikiri.
Enyi wajinga miongoni mwa watu, fikirini; Enyi wapumbavu, lini mtakapopata akili?
K. Bwana hatawatupa watu wake.
Aliyelitia sikio mahali pake asisikie? Aliyelifanya jicho asione?
Awaadibuye mataifa asikemee? Amfundishaye mwanadamu asijue?
K. Bwana hatawatupa watu wake.
Kwa kuwa Bwana hatawatupa watu wake, Wala hutauacha urithi wake,
Maana hukumu itairejea haki, Na wote walio wanyofu wa moyo wataifuata.
K. Bwana hatawatupa watu wake.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi,
kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya
Injili
Mt 11:25-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni