Kumbukumbu ya Mt. Antoni wa Misri, Mkaa Pweke
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Sam 8:4-7, 10-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:15-18Fadhili zako, Ee Bwana, nitaziimba milele.
Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe,
Ee Bwana, huenenda katika nuru ya uso wako.
Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa,
Na kwa haki yako hutukuzwa.
K. Fadhili zako, Ee Bwana, nitaziimba milele.
Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe,
Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.
Maana ngao yetu ina Bwana,
Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli.
K. Fadhili zako, Ee Bwana, nitaziimba milele.
Shangilio la Injili
Lk 7:16Nabii mkuu ametokea kwetu, na Mungu amewaambia watu wake
Aleluya.
Injili
Mk 2:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
Emanuel Lemburis · 18 Januari 2020
Ndo maana wale walishangaa kwa maana Hawakuwa na Imani tukiwa na Imani kila kitu kitakuwa sawa marko 11:20-24
Emanuel Lemburis · 18 Januari 2020
kabisa
Emanuel Lemburis · 18 Januari 2020
Imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiao na ni bayana ya mambo yasiyoonekana