Kutabarukiwa Basilika la Laterani
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Eze 43:1-2, 4-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 122:1-5, 7-8Nalifurahi waliponiambia,
Na twende nyumbani kwa Bwana.
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
(K)Nalifurahi waliponiambia,na twende nyumbani kwa Bwana.
Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana;
Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la Bwana.
(K)Nalifurahi waliponiambia,na twende nyumbani kwa Bwana.
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.
(K)Nalifurahi waliponiambia,na twende nyumbani kwa Bwana.
Somo la Pili
1Kor 3:9-11, 16-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
2 Nya 7:16Nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, asema Bwana, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele.
Aleluya.
Injili
Lk Yn 2:13-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni