Alhamisi ya 10 Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Fal 18:41-46Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 65:9-12Umeijilia nchi na kuisitawisha, Umeitajirisha sana;
Mto wa Mungu umejaa maji; Wawaruzuku watu nafaka Maana ndiwe uitengenezaye ardhi.
(K)Ee Mungu, sifa zakuilaki katika Sayuni.
Matuta yake wayajaza maji; Wapasawazisha palipoinuka,
Wailainisha nchi kwa manyunyu; Waibariki mimea yake.
(K)Ee Mungu, sifa zakuilaki katika Sayuni.
Umeuvika mwaka taji ya wema wako; Mapito yako yadondoza unono.
Huyadondokea malisho ya nyikani, Na vilima vyajifunga furaha.
(K)Ee Mungu, sifa zakuilaki katika Sayuni.
Shangilio la Injili
Yn 13:34Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi.
Aleluya
Injili
Mt 5:20-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni