Sherehe ya Mwili na Damu Takatifu ya Bwana wetu Ye
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mwa 14:18-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 110:1-4Neno la Bwana kwa Bwana wangu,
Uketi mkono wangu wa kuume,
Hata niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
(K)Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
Bwana atainyosha toka Sayuni Fimbo ya nguvu zako.
Uwe na enzi kati ya adui zako;
(K)Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
Watu wako wanajitoa kwa hiari,
Siku ya uwezo wako; Kwa uzuri wa utakatifu,
Tokea tumbo la asubuhi, Unao umande wa ujana wako.
(K)Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
Bwana ameapa, Wala hataghairi,
Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
(K)Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki.
Somo la Pili
1Kor 11:23-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 6:51Mimi ndimi chakula cha uzima kilichoshuka kutoka mbinguni asema Bwana; mtu akila chakula hiki, ataishi milele.
Aleluya.
Injili
Lk 9:11-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni