Jumatano ya Majivu
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yoe. 2:12-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 51:1-4, 10-12, 15Uturehemu, Ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Ee Mungu, nirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
K. Uturehemu, Ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu I mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako,
Na kufanya maovu mbele za macho yako.
K. Uturehemu, Ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Ee Mungu, uniumbie moyo safi,
Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Usinitenge na uso wako,
Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
K. Uturehemu, Ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Unirudishie furaha ya wokovu wako;
Unitegemeze kwa roho ya wepesi.
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu,
Na kinywa change kitazinena sifa zako.
K. Uturehemu, Ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi.
Somo la Pili
2 Kor. 5:20 – 6:2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Zab. 95:8Injili
Mt. 6:1-6, 16-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Frolentina Merdad · 6 Machi 2019
Nimebalikiwa na injiri amina