Dominika ya 6 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 17:5-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 1:1-4, 6Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
K. Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi
Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
K. Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi
Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki,
Bali njia ya wasio haki itapotea.
K. Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi
Somo la Pili
1Kor 15:12, 16-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Efe 1:17-18Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, uyatie nuru macho ya mioyo yetu, ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo
Aleluya
Injili
Lk 6:17, 20-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni