Kumbukumbu ya Mt. Antoni (Abate)
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 3:7-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 95:6-11Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Njoni, tuabudu, tusujudu,
Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
Kwa maana ndiye Mungu wetu,
Na sisi tu watu wa malisho yake,
Na kondoo za mkono wake.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Msifanye migumu mioyo yenu;
Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.
Hapo waliponijaribu baba zenu,
Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Miaka arobaini nalihuzunika na kizazi kile,
Nikasema, Hao ni watu waliopotoka mioyo,
Hawakuzijua njia zangu.
Nikaapa kwa hasira yangu Wasiingie rahani mwangu.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Shangilio la Injili
Mt. 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Mk 1:40-45Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni