Mwenyeheri William Richardson, Padre na Shahidi
Mwenyeheri William Richardson Alizaliwa huko Sheffield, Mwaka 1572 Uingereza.Alikwenda kusoma katika seminari za Valladolid na Seville, Hispania, na akapata daraja la upadre mwaka wa 1594. William alirudishwa Uingereza, ambako alitumia pia jina la Anderson.
Mwenyeheri William Richardson akihubiri kijasiri kila mahali , akimtangaza Kristo, hata katika maeneo ya wapinga Kristo. Baadae kwa ya watawala alikamatwa . Aliuwawa baada ya mateso makali kwa kukatwakatwa ,huko Tyburn Uingereza.
Aliuwawa tarehe 27 Februari, mwaka 1603 huko Tyburn, London, England, Akatangazwa mwenyeheri tarehe
15 Desemba 1929 na Papa Pius XI.
Maoni
Ingia utoe maoni