Jumatatu. 25 Novemba. 2024

Tafakari

Jumapili, Julai 12, 2020

Jumapili, Julai 12, 2020,
Juma la 15 la Mwaka

Isa. 55: 10-11
Ps. 64:10-14
Rom. 8:18-23
Mt 13:1-23

MBEGU NI NENO LA MUNGU

Tunasema neno lao halina maana. Hata hivyo tusifikiri kwamba maneno yetu yana maana. Sisi tunasema uwongo, hatuweki ahadi zetu, isitoshe tunapamba ukweli na kuzificha ili zisitambulikane. Lakini tuangalie uwezo wake neno la Mungu: neno la Mungu linaonekana kuwa kila wakati lina nguvu na linatendeka kwasabau ya Mungu: “…………………..”(Hesabu 23:19). Kwa Mungu kuongea ni sawa na kutendeka, kuahidi sawana kutimiza. Neno la Mungu linumbwa kile ambacho kilichokisema. Anaonge neno kuumbwa. Wakati anaposema let there be… kinatendeka. Somo la kwanza la leo linatusimulia uwezo na nguvu kubwa ya neno la wa Bwana. Kama mbvua inyanyesha na inasababisha kila kitu kiote, vivyo hivyo neno la Mungu linatekeleza kile amabcho kilitakiwa kutekeleza. Neno la Mungu siyo tupu, neno lake lina nguvu kubwa kutenda kazi za Mungu. Kama Neno la Mungu limeumbwa hapo mwanzo vivyo hivyo linafanya kila kitu upya.

Ukurasa 13 ya Mathayo ni ya muhimu sana kwa sababu
1. inatuonyesha kwa hakika mageuzi katika utume wake yesu; mwazo wa utume wake tunamwona Yesu kufundisha huko Sinagogi, lakini sasa tunamwona Yesu kufundisha pwanini.
2. hapa Yesu anatumia kipaji chake cha kufundisha: mithali(mifano)
a. mithali kila wakati inasaidia kuelewa ukweli
b. inasemekana kwamba mafundisho makuu yanaanza toka hapa na sasa ili kuelekea kule na

anatumia mfano ambayo kirahisi wanaweza kuelewa. Ukweli ni kwamba wakati Yesy alikuwa anafundisha… apnzi… na Yesu anasema umwone yeye…ili watu wote wamwone.aina mbili ya kupanda mbegu
1. kumwaga(kutupa) kila sababu kwenda hapa na pale
2. kujaja mbegu kwenye gunia na kupandisha juu ya mnyama na kutoboa….

Mfano wake yesu unaelekea kwa watu aina mbili: wale ambao wanasikia neno la mungu
- yule ambaye anafunga akili yake
- msikilizaji kama ardi ngumu
- yule ambaye amesongwa na mambo mengi na anasahau ya muhimu
- na yule ambaye anapokea

panzi katika mfano huu ni Yesu Mwenyewe. Mbegu ni neno la Mungu. Hatuwa mbali mbali ni : … wale ambao wanapoke neno la Mungu. Wengine hawapokei kabisa, wengine wanapokea na wanaacha baadaye. Wengine wanapokea na wanatafakari na wanatumia.

Ni muhimu sana kuangalia safari moja tu neno lilikakaa mojakwa moja. Lakini mara tatu lilipokelewa kwa furaha. Tatizo haliko katika kupokea neno la Mungu. Tatizo liko katika kutafakari na kutumia.hivyo basi kuna hatua tatu zipo katika kupokea Neno la Mungu: Kupokea, kutafakari na kutekeleza.

Tuangalie kwa makini:
Hatua ya kwanza ni kusikia Neno la Mungu. Tunaweza kusema hatua ya akili. Inahitaji kusikiliza kwa makini Neno la Munu
3. kutafakari neno la Mungu: tunaweza kusema hatua ya Moyo. Tunahitaji kupokea moyoni neno ambalo ulilolisikia sasa hivi. Tunatafakari namna gani neno linaweza kunisaidia maisha yangu na namna gani linaweza kuifanya maisha yangu bora
hatua ya pili siyo lazima itendeke hapa kanisani. Inawezekana kuanza kanisani, lakini inaendelea kutendeka katika juma zima.

Hatua ya tatu ni kutekeleza kile ambacho neno la Mungu limeni ambia: hatua ya kiroho. Inategemea kile ambacho tulichopokea na kile ambacho moyo wetu umetafakari. Mt. Paulo anasema hivi: ……………………Hebrania 4:12, hivyo basi kuna hatu tatu katika kusikiliza neno la Mungu: akili, moyo na roho.

Masomo ya leo yana ujumbe muhimu kwetu sisi: labda hatupo bora kwasababu hatuitikii Neno la Mungu, kwa akili zetu zote, moyo wetu wote na uwezo wetu.

Tuanze kumfuta mfano wa Yohane. Ujumbe ni mwaliko kwetu sisi kama yohane alifanya.: alipokea, alitafakari na alitenda

Maoni


Ingia utoe maoni