Mungu wangu, nimetubu sana dhambi zangu, kwani ndiwe mwema ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi. Basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema zako nipate kurudi. Amina
Maoni
Kanisius Ngalowoka
Samahan kitubio ni mbaka niende kanisani Sivyo?David Shebughe
Lazima ukutane na padreAstalico Moreku
Hapana we tubu from even homeLEWIS NANGUNYE
Popote ulipo bora uwe na imaniManfred Kalelwa
Vipi kuusu hatua za kula mkateDotizo juliuss Julius
Nitakuwa na pata masomo ya kilasikuErnesto Chengula
Naomb nikumbushwe sala wakati wa kitubioGregory Nyando
Sala za kutubu wakati wa kitubio in ngapi?Vicklina Ponela
Maneno ya kusema kabla ya kuungama ni yapi?PETERKENNEDY OPIYO
Naomba nikumbushwe sala ya kuungama na wakati wa kitubioColince Kafuna
Kitubio nzuri na kamili ni Ile ambapo padri yupo kumwakilisha uwepo wa MunguJovitus Adeodatus
Naomba nikumbushwe sala ya kuanza nayo punde nikifika kuungamaGASPER MKELEMI
Naomba nikumbushwe sala zote mwisho ifike ya kuungamaTGNED DELIA
Fanya hive ingia kwa google, andika sala mkatoliki leo, nautapata salazote.TGNED DELIA
Tumsifu mwana wetu yesu kristoIngia utoe maoni