Jumanne. 16 Julai. 2024

Sala

Sala ya Imani

Mungu wangu, nasadiki maneno yote linalosadiki na linalofundisha kanisa katoliki la Roma; Kwani ndiwe uliyefundisha hayo, wala hudanganyiki, wala hudanganyi.

Amina

Maoni

Andrew Timotheo

mapendo, kwakweli hii sala ianibariki sana ninapo isali kwaio vijana wenzangu tuipende hii sala.

Vicklina Ponela

Daima.sawa asante.

Petro Kapufi

Daima .namimi piaa

PETERKENNEDY OPIYO

Amina

Ingia utoe maoni