Amri za Mungu
1. Ndimi Bwana Mungu wako usiabudu miungu mingine.
2. Usilitaje bure jina la Mungu wako.
3. Shika kitakatifu siku ya Mungu.
4. Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani.
5. Usiue.
6. Usizini,
7. Usiibe.
8. Usiseme uongo.
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya mtu mwingine.
3 Imependwa
4 Maoni

Maoni
DAVID ELIA
Tunashika amri hii kweli?Yohana Eric
Amri hizi hawazishiki wote bali wachache ndio wanazishika.LAMECK NIYIBOGORA
haaaaa! kweli nivigumu! tuombe roho mtakatifu atuwezeshe bali bila yeye hatutawezaYohana Eric
Hapo kweli tuombe loho mtakatifu atujalie japo tukalili amri ya 6 pamoja na 8Yohana Eric
amri hizi nilahisi kuzishika lakini fanya jambo moja tunbu okoka kisha samehe jilinde na matamaniyo ya dunia nakitu chema na kibaya kinajulikana sanatu kiufupi tubu na okoka uone matokeoYohana Eric
Swali ipi amri uliyo shindwa kutekeleza nikusaidie?Ingia utoe maoni