Jumamosi. 10 Mei. 2025

Sala

MATENDO YA UTUKUFU (Jumatano na Jumapili)

1. Yesu anafufuka. Tumwombe Mungu atujalie kugeuka watakatifu.

2. Yesu anapaa mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kwenda mbinguni.

3. Roho Mtakatifu anawashukia Mitume. Tumwombe Mungu atujalie bidii katika dini yetu.

4. Bikira Maria anapalizwa mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kufa vizuri.

5. Bikira Maria anawekwa Malkia mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kudumu katika njia njema

Maoni


Ingia utoe maoni