Jumatatu. 29 Aprili. 2024

Sala

MATENDO YA UCHUNGU (Jumanne na Ijumaa)

1. Yesu anatoka jasho la damu kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie sikitiko la dhambi.

2. Yesu anapigwa kwa mijeledi kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuacha dhambi za uchafu.

3. Yesu anatiwa miiba kichwani kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kushinda kiburi.

4. Yesu anachukua Msalaba kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuvumilia taabu.

5. Yesu anakufa Msalabani. Tumwombe Mungu atujalie kuwapenda Yesu na Maria.

Maoni

Lucas Malley

Nimebarikiwa

Joseph Wambua

Amina

Sharon clare

nimebarikiwa sana

Joseph Wambua

Amina

Joseph Wambua

Rozari takatifu ni bomu la atomiki la kuangamiza pepo wabaya na kazi za shetani.... Asanteni

Ingia utoe maoni