Kumbukumbu ya Mtakatifu Leo Mkuu, Papa na Mwalimu wa Kanisa
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Tit. 2:1–8, 11–14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 37:3–4, 18, 23, 27, 29Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Umtumaini Bwana ukatende mema,
Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa Bwana,
Naye atakupa haja za moyo wako.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Bwana anazijua siku za wakamilifu,
Na urithi wao utakuwa wa milele.
Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana,
Naye aipenda njia yake.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Jiepue na uovu, utende mema,
Na kukaa hata milele.
Wenye haki watairithi nchi,
Nao watakaa humo milele.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Shangilio la Injili
Zab. 119:18Unifumbue macho yangu niyatazame maajabu yatokayo katika sheria yako.
Aleluya.
Injili
Lk. 17: 1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni