Ijumaa ya 30 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Fil 1:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 111:1-6Matendo ya Bwana ni makuu.
Aleluya, Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote,
Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.
Matendo ya Bwana ni makuu.
Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
K. Matendo ya Bwana ni makuu.
Kazi yake ni heshima na adhama,
Na haki yake yakaa milele.
Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu;
Bwana ni mwenye fadhili na rehema.
K. Matendo ya Bwana ni makuu.
Amewapa wamchao chakula;
Atalikumbuka agano lake milele.
Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake,
Kwa kuwapa urithi wa mataifa.
K. Matendo ya Bwana ni makuu.
Shangilio la Injili
Zab 119:135Unifahamishe nami nitaishika sheria yako nitaitii kwa moyo wangu wote.
Aleluya
Injili
Lk 14:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni