Jumatatu ya 30 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Efe 4:32–5:8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:1, 3, 5–6, 19–20Mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa.
Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki; wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
K. Mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa.
Naye atakuwa kama mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.
K. Mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa.
Sivyo walivyo wasio haki;
Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo,
Kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki.
Bali njia ya wasio haki itapotea.
K. Mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa.
Shangilio la Injili
Yak 1:18Kwa kupenda kwake mwenyewe, Baba alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.
Aleluya.
Injili
Lk 13:10-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni