Kumbukumbu ya Mtakatifu Inyasi wa Antiokia , Askofu na Mfiadini
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Efe 1:15-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 8:1-6Umemtawaza mwanao juu ya kazi za mikono yako
Wewe Mungu Bwana wetu,
Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni;
Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao.
K. Umemtawaza mwanao juu ya kazi za mikono yako
Nikiziangalia mbingu zako, Kazi ya vidole vyako,
Mwezi na nyota ulizoziratibisha,
Mtu ni kitu gani hat umkumbuke
Na binadamu hata umwangalie.
K. Umemtawaza mwanao juu ya kazi za mikono yako
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu;
Umemvika taji ya utukufu na heshima
Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako
Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
K. Umemtawaza mwanao juu ya kazi za mikono yako
Shangilio la Injili
Mt 11:35Nakushukuru baba Bwana wa mbingu na nchi
Kwa kuwa mambo haya uliyaficha
Wenye hekima na akili
Ukawafunulia watoto wachanga
Aleluya.
Injili
Lk 12:8-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni