Kumbukumbu ya Mtakatifu Inyasi wa Loyola, Padre na Mwanzilishi wa Shirika
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 26:1–9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 69:4, 7–9, 13Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Wanaonichukia bure ni wengi
Kuliko nywele za kichwa changu.
Watakao kunikatilia mbali wamekuwa hodari,
Adui zangu kwa sababu isiyo kweli.
Hata mimi nalilipishwa kwa nguvu
Vitu nisivyovichukua.
K. Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Maana kwa ajili yako nimestahimili laumu,
Fedheha imenifunika uso wangu.
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu,
Na msikwao kwa wana wa mama yangu.
Maana wivu wa nyumba yako umenila,
Na laumu zao wanaokulaumu zimenipata.
K. Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Nami maombi yangu nakuomba Wewe, Bwana,
Wakati ukupendezao; Ee Mungu,
Kwa wingi wa fadhili zako unijibu,
Katika kweli ya wokovu wako.
K. Kwa wingi wa fadhili zako, unijibu, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
1 Sam 3:9, Yn. 6:68Nena, Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia: wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya
Injili
Mt 13:54-58Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni