Dominika ya 17 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 3:5, 7-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:57, 72, 76-77, 127-130Sheria yako naipenda mno ajabu.
Bwana ndiye aliye fungu langu,
Nimesema kwamba nitayatii maneno yako.
Sheria ya kinywa chako ni njema kwangu,
Kuliko maelfu ya dhahabu na fedha.
K. Sheria yako naipenda mno ajabu.
Nakuomba, fadhili zako ziwe faraja kwangu,
Sawasawa na ahadi yako kwa mtumishi wako.
Rehema zako zinijie nipate kuishi,
Maana sheria yako ni furaha yangu.
K. Sheria yako naipenda mno ajabu.
Ndiyo maana nimeyapenda maagizo yako,
Kuliko dhahabu, naam, dhahabu iliyo safi.
Maana nayaona mausia yako yote kuwa ya adili,
Kila njia ya uongo naichukia.
K. Sheria yako naipenda mno ajabu.
Shuhuda zako ni za ajabu,
Ndiyo maana roho yangu imezishika.
Kufafanusha maneno yako kwatia nuru,
Na kumfahamisha mjinga.
K. Sheria yako naipenda mno ajabu.
Somo la Pili
Rum 8:28-30Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Efe 1:17, 18Ewe Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Uyatie nuru macho ya mioyo yetu, Ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.
Aleluya.
Injili
Mt 13:44-52Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni