Sherehe ya Mwili na Damu ya Bwana wetu Yesu Kristu
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Kum 8:2-3, 14-16aNeno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 147:12-15,19-20Msifu Bwana, Ee Yerusalemu
Msifu Bwana, Ee Yerusalemu;
Msifu Mungu wako, Ee Sayuni.
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako,
Amewabariki wanao ndani yako.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu
Ndiye afanyaye amani mipakani mwako,
Akushibishaye kwa unono wa ngano.
Huipeleka amri yake juu ya nchi,
Neno lake lapiga mbio sana.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu
Humhubiri Yakobo neno lake,
Na Israeli amri zake na hukumu zake.
Hakulitendea taifa lo lote mambo kama hayo,
Wala hukumu zake hawakuzijua. Haleluya.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu
Somo la Pili
1Kor 10:16-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 6:51Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni;
Asema Bwana; mtu akila chakula hiki ataishi milele.
Aleluya
Injili
Yn 6:51-58Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Frank Madunba · 8 Juni 2026
Hapa tunafunuliwa tusiyoyajua kiimani yakuwa uzima ni kristu maana bila yeye si kitu maishani
BAYIZI CHALRES · 13 Juni 2026
Franke ni kweli kabisa nasi basi yatupasa tumwombe mungu kila uchwao