Jumamosi ya 4 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 13:44-52Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Miisho yote ya dunia imeuona Wokovo wa Mungu wetu.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Miisho yote ya dunia imeuona Wokovo wa Mungu wetu.
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Miisho yote ya dunia imeuona Wokovo wa Mungu wetu.
Miisho yote ya dunia imeuona
Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Miisho yote ya dunia imeuona Wokovo wa Mungu wetu.
Shangilio la Injili
Rum 6:9Kristo akiisha kufufuka katika wafu, hafi tena wala mauti haimtawali tena.
Aleluya.
Injili
Yn 14:7-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (3)
Sisco Shedrack · 2 Mei 2026
Sawa nimependa
thobiasi thobiasi · 2 Mei 2026
mungu ni mwema
BUBERWA KIIZA · 2 Mei 2026
Wakati wote au kila wakati
BUBERWA KIIZA · 2 Mei 2026
Tumuombe mungu atujalie upendo uchaji wa mungu na tumuombe atunyime wivu