Kumbukumbu ya Waamini Marehemu wote
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Hek 3:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23Bwana ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza.
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza,
Katika njia za haki kwa ajili ya jjina lake.
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yangu vyanifariji.
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu,
Na kikombe changu kinafurika.
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Hakika wema na fadhili zitanifuata,
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Somo la Pili
Rum 6:3-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Ufu 14:13Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa! Wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
Aleluya.
Injili
Mt 25:31-46Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni