Jumamosi ya 30 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Fil 1:18-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 42:1-2, 4Nafsi yangu inamwonea kiu Mungu.
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji.
Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu.
K. Nafsi yangu inamwonea kiu Mungu.
Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU,
Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?
K. Nafsi yangu inamwonea kiu Mungu.
Jinsi nilivyokuwa nikienda na mkutano,
Na kuwaongoza nyumbani kwa Mungu,
Kwa sauti ya furaha na kusifu, mkutano wa sikukuu.
K. Nafsi yangu inamwonea kiu Mungu.
Shangilio la Injili
Zab. 19:8Amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru.
Aleluya.
Injili
Lk 14:1, 7-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni