Alhamisi ya 30 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Efe 6:10-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 144:1-2, 9-10Na ahimidiwe Bwana, mwamba wangu,
Anifundishaye mikono yangu vita,
Vidole vyangu kupigana.
(K)Ahimidiwe Bwana, mwamba wangu.
Mhisani wangu na boma langu,
Ngome yangu na mwokozi wangu,
Ngao yangu niliyemkimbilia,
Huwatiisha watu wangu chini yangu.
(K)Ahimidiwe Bwana, mwamba wangu.
Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya,
Kwa kinanda chenye nyuzi kumi nitakuimbia.
Awapaye wafalme wokovu,
Amwokoa Daudi, mtumishi wake, na upanga wa uovu.
(K)Ahimidiwe Bwana, mwamba wangu.
Shangilio la Injili
Zab. 119:18Unifumbue macho yangu niyatazame maajabu yatokayo katika sheria yako.
Aleluya.
Injili
Lk 13:31-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni