Alhamisi ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ybs 48: 1-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 97:1-7Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie, Visiwa vingi na vifurahi.
Mawingu na giza vyamzunguka, Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
(K)Enyi wenye haki mfurahieni Bwana
Moto hutangulia mbele zake, Nao huwateketeza watesi wake pande zote.
Umeme wake uliuangaza ulimwengu, Nchi ikaona ikatetemeka.
(K)Enyi wenye haki mfurahieni Bwana
Milima iliyeyuka kama nta mbele za Bwana, Mbele za Bwana wa dunia yote.
Mbingu zimetangaza haki yake, Na watu wote wameuona utukufu wake.
(K)Enyi wenye haki mfurahieni Bwana
Na waaibishwe wote waabuduo sanamu, Wajivunao kwa vitu visivyofaa;
Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
(K)Enyi wenye haki mfurahieni Bwana
Shangilio la Injili
Rum 8:15bcMlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba.
Aleluya
Injili
Mt 6:7-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni