JUMAMOSI YA 6 YA PASAKA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo. 18:23-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 47: 1-2, 7-9Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Enyi watu wote, pigeni makofi,
Mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe,
Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya,
Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote,
Imbeni kwa akili.
Mungu awamiliki mataifa,
Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Wakuu wa watu wamekusanyika,
Wawe watu wa Mungu wa Ibrahimu.
Maana ngao za dunia zina Mungu,
Ametukuka sana.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Shangilio la Injili
Yn. 16:28Nalitoka kwa Baba, nami nimekuja hapa ulimwenguni; tena nauacha ulimwengu; na kwenda kwa Baba.
Aleluya.
Injili
Yn. 16:23b-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni